Sanzi Food | FuTopia Festival 2026
Buy Tickets
Zones / Food Art Street / Sanzi Food
Food Stall

Sanzi Food

Sanzi Food
Je, unapenda ladha halisi za vyakula vya Kiarabu? Teembelea banda la SANZI FOOD wakati wa FuTopia Festival!

Karibu SANZI FOOD!

Je, unapenda ladha halisi za vyakula vya Kiarabu? Teembelea banda la SANZI FOOD wakati wa FuTopia Festival!
Chicken Wrap
Falafel Wrap
Vegetarian Eggplant (Bilingani) Wrap
Sanzi Mshikaki – mchanganyiko maalum wa ladha mbalimbali kutoka kwenye menyu yetu
Falafel zinazotolewa na Tahina Sauce ya nyumbani (homemade)
Tende maalum za Korosho, Karanga na Mbegu za Maboga

Kila chakula kinaandaliwa kwa ubora, usafi na viungo bora ili kukupa ladha ya kipekee ambayo hutaisahau.

SANZI FOOD – Mahali ambapo ladha, afya na ubora vinakutana